Hekima Kutoka Katekisimo
Anne Gihlemoen
“Maswali na majibu 602 juu ya imani na maisha ya Kikristo. Yatakuwa na manufaa kwa watu wengi hasa wanafunzi wa neno la Mungu.”
Mwandishi/Author: Profesa Erik Pontoppidan
Toleo la nne/Fourth edition: 2013
Kurasa/Pages: 116
Ukubwa/Size: 19,5 X 14,5 cm
ISBN: 978-9987-614-39-4
Code: 11060
Also available in English: WISDOM from an old Catechism
“602 questions/answers on Christian faith. Historically used in teaching confirmation classes. Available in English as Wisdom. A real classic!”
The different issues of Hekima and Wisdom.
Hekima toleo la tatu kulia na toleo la nne kushoto