Onjeni Bwana alivyo mwema
Anne Gihlemoen
“Kitabu hiki ni msaada wa kushiriki sakramenti ya Chakula cha Bwana kwa manufaa zaidi. Maelezo ya aina tatu: rahisi, ya kibiblia na ya kitheolojia.”
Mwandishi/Author: Philip Bach-Svendsen
Toleo la kwanza/First edition: 2007
Kurasa/Pages: 102
Ukubwa/Size: 15 x 21 cm
Code: 14024
“This book teaches the meaning and importance of the Lord’s feast: The Holy Communion.”