Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 686 313 721 or +255 744 339 167

E-mail: manager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishingmanager.somabiblia@gmail.com

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

SIKU KUU YA MIKAELI NA WATOTO IMEKARIBIA

Habari kutoka Soma Biblia

SIKU KUU YA MIKAELI NA WATOTO IMEKARIBIA

Cathbert Msemo

Watoto ni hazina kubwa kwa Kanisa-leo na kesho. Bwana Yesu anawapenda sana Watoto. 

Sisi wazazi, walezi na Kanisa tuna jukumu la kuwasaidia watoto kumfahamu Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yao. Ni furaha yetu kuona jinsi Kanisa linavyoweka siku kuu ya pekee kwa ajili ya watoto na jinsi Sharika nyingi zilivyoweka utamaduni wa kutoa zawadi kwa watoto wao kwenye sikukuu hiyo, hasa zawadi ambayo inaweza kuwasaidia na kuwajenga watoto katika imani yao.

Soma Biblia tunapenda kushiriki katika kazi ya kuwajenga watoto katika imani ya Kikristo kwa njia ya vitabu, Biblia na majarida kwa ajili ya watoto. Kwa hiyo tunatoa ofa maalum kwa sharika zote zinazopenda kuwapa watoto wao zawadi kwaajili ya siku kuu ya watoto. Ni zawadi zinazodumu kwa muda mrefu, na zinawajenga watoto katika imani ya Kikristo.

Kwa wale watakao nunua Vitabu hivi kwa ajili ya sikukuu ya watoto tunatoa punguzo la asilimia 20% kwenye vitabu aina mbalimbali. Ofa hii inahusu vitabu vifuatavyo;

  1. Pamoja na Yesu no.1 -4 

  2. Biblia ya kubeba popote (English na swahili)

  3. Krismass ya Kwanza 

  4. Gods story for all (English na Swahili)

  5. Tunu na tuzo 

  6. Bible for toddlers/Biblia ya watoto (english na Swahili) 

  7. The creative Bible for Children na

  8. Starter Bibles.

Utaratibu ni kuagiza vitabu unavyohitaji kwa njia ya kupiga simu au Barua pepe. Popote ulipo karibu na matawi yetu unaweza kuagiza kwa kubonyeza link na kuwasiliana nasi;

Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Iringa, Mwanza

Toa maelezo yafuatayo: 

1.    Jina la kitabu na idadi unayohitaji. 

2.    Njia ya usafirishaji (posta au basi). 

3.    Jina lako, Anuani na namba yako ya simu. 

Krismas ya kwanza.jpg