USHUHUDA WA MWINJILISTI NOAH LOMAYANI - KKKT MWENGE DAR ES SALAAM
Cathbert Msemo
Mwinjilisti Noah Lomayani anahudumu katika Kanisa la KKKT Mwenge, Dar es Salaam, Dayosisi ya Mashariki na Pwani. Ametushirikisha ushuhuda wake mzuri unaotutia moyo kuendelea kujenga maisha yetu katika Yesu Kristo.
“Ukimjua Yesu ndani ya maisha yako unakuwa na furaha, amani na upendo. Ukiwa na Yesu utakula mema ya nchi.”
Mwinjilisti Noah akiwa na Vivi Agerbo Jørgensen mfanyakazi wa Soma Biblia