SOMA BIBLIA KALENDA 2017
Anne Gihlemoen
Kalenda hii inakupa:
- Nafasi ya kuandika kumbukumbu zako kila siku.
- Mpango wa kusoma sehemu ya Biblia ila siku pamoja na maelezo juu ya somo hilo.
- Uwezekano wa kuibeba popote; kazini, shambani, shuleni na hata ukisafiri.
Soma Biblia Kalenda 2017 inapatikana katika kila tawi la Soma Biblia:
Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Iringa na Mwanza.
Ukitaka kuagiza kupata kwa njia ya posta Bofya hapa.
Mpango wa kusoma sehemu ya Biblia ila siku pamoja na maelezo juu ya somo hilo.
Calender for reading the Bible every day:
- Space to write notes.
- Biblereading plan for everyday with a daily devotion to go with the reading.
- The pocket-sized booklet makes it easy to carry along wherever you may go; work, school or travel.
The Soma Biblia Kalenda 2017 is available in all Soma Biblia Bookshops:
Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Iringa and Mwanza.
If you want to order for delivery, enter here.
Ni ndogo kiasi. Hivyo ni rahisi kuibeba mahali popote.
Kabla ya kuanza kazi ni nzuri kusoma Biblia kidogo. Soma Biblia Kalenda inakupa mpango wa kusoma sehemu ya Biblia kila siku pamoja na maelezo juu ya somo hilo.