KALENDA YA UKUTANI 2018/WALL CALENDAR 2018
Anne Gihlemoen
“Kalenda ya ukutani siyo ya kukosa! ”
Kalenda ya ukutani 2018 inapatikana. Ina picha nzuri kutoka huduma za Soma Biblia, na zote zinalandana na mstari kutoka kwenye Biblia
Bei: 1500 Tsh tu
Soma Biblia Kalenda 2018 inapatikana katika kila tawi la Soma Biblia: Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Iringa na Mwanza
Ukitaka kuagiza kupata kwa njia ya posta bofya hapa.
“A wall calendar is a bare necessity!”
The Soma Biblia Wall calendar is now available. It has beautiful pictures from Soma Biblia's work all over Tanzania, and encouraging Bible verses to follow.
Price: 1500 Tsh
The calendar can be bought in all our bookshops: Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Iringa na Mwanza
If you want to order for delivery, go here.