Anakupenda kwa sababu alikuumba - Wanawake wa Imani Kip #2
Anne Gihlemoen
"Sawa nimeelewa Mungu ananipenda, na anapenda kuwa rafiki yangu, lakini mbona sioni kabisa upendo wake katika maisha yangu?" Tunafahamu kwamba tuna shida mbalimbali katika maisha yetu. Shida ya uchumi ni rahisi kutambua, na wengi wanapambana kila siku ili wapate hata kidogo tu cha kulisha familia. Kwa nini Mungu haoni hali hii na kunisaidia kama ananipenda?Tuko katika maada ngumu sana na haina jibu kwa rahisi.
Kusikiliza, unaweza kubonyeza "play" hapa chini, au kudownload na kusikiliza muda wowote na kushirikisa kwa wengine.
Kusikiliza kwa njia ya Youtube, bofya hapa