Msingi wa Imani
Cathbert Msemo
Ni hazina kubwa kwa wote wanaotaka kufahamu ukweli wa Imani ya Kikristo. Kimeandikwa na profesa wa theolojia mwenye fokasi ya Kiinjili na kwa lengo la kumwezesha msomaji kushuhudia, Namjua yeye nimwaminiye! Ni kitabu cha lazima kwa kila aliye na huduma ya kufundisha kanisani.
Mwandishi/Author: Carl Fr. Wisloff
Toleo lililohaririwa/revised edition: 2019
Kurasa/Pages: 216
Ukubwa/Size: 14.8 x 21 cm
ISBN: 978 9987 614 08 0
Code: 11025