Soma Biblia Kalenda 2016
Anne Gihlemoen
“Kalenda ya mwaka ikiwa na maelezo mafupi, mahubiri ya kila siku yaliyounganishwa na vifungu vya Biblia.”
Soma Biblia Kalenda inatoka kila mwaka tangu 2000.
Kalenda inajumuisha
- Kalenda ya 2016 na 2017 katika ukurasa wa mbele wa jalada
- Mapitio wakati wa mapumziko hapa Tanzania 2015
- Kurasa 12 kwa kila mwezi kwaajili ya wewe kunakili
- kusoma kufuatana na sikukuu za Kikristo
Code: 14413
Bei/Price: 2000 Tsh
“A yearly calendar with a brief, daily devotion connected to a passage from the Bible.”
The Soma Biblia Kalenda has come out every years since 2000.
The calender contains
- a calender for 2016 and 2017 on the inside cover
- Survey for holidays in Tanzania 2015
- 12 pages of each one month for your notes
- Readings according to the Christian Holidays
Code: 14413
Bei/Price: 2000 Tsh