Kalenda ya Ukutani 2016/Wall calender 2016
Anne Gihlemoen
“Kalenda ya mwaka ya ukutani kutoka Soma Biblia. Mwaka huu ikiwa imepambwa na michoro ya rangi inayoeleza maisha ya kila siku ya kitanzania, imechorwa na wachoraji wa Tanzania Pascal Clemens na Paulo John Mwakoro.”
Bei/Price: 1000 Tshs
“The annual Soma Biblia wall calender. This year decorated with the colorful paintings of Tanzanian everyday life, by Tanzanian artists Pascal Clemens and Paulo John Mwakoro.”