TWENDE toleo la 3, 2019 linapatikana
Cathbert Msemo
Habari hii njema tunafafanua zaidi katika toleo hili. Na wewe Kijana mpendwa, usisahau kuna makala nzuri kwa ajili yako pia. Inahusu miiba. Lakini Yesu yupo kukulinda isikuchome!
Read MoreUse the form on the right to contact us.
Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.
Main office:
P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania
Phone: +255 686 313 721 or +255 744 339 167
E-mail: manager.somabiblia@gmail.com
Publishing department
Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania
Phone: + 255 787392951
123 Street Avenue, City Town, 99999
(123) 555-6789
email@address.com
You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.
Filtering by Category: Magazeti
Habari hii njema tunafafanua zaidi katika toleo hili. Na wewe Kijana mpendwa, usisahau kuna makala nzuri kwa ajili yako pia. Inahusu miiba. Lakini Yesu yupo kukulinda isikuchome!
Read MoreJe, wewe ni mtumishi wa Kanisa? Riziki toleo la Tatu mwaka 2019 linapatikana sasa.
Katika toleo hili la RIZIKI tunajadili namna ya kutambua nafasi ya watoto na vijana ndani ya kanisa. Nia ni kukumbushana kama kanisa umuhimu wa kuwatambua, ili tuwalee vizuri na kuwajali pamoja na vipaji walivyo navyo.
Umewahi kusikia mtu akisema, “Mimi ni mwanafunzi wa Yesu”? Au, “Mimi ni mtoto wa Yesu? Au, “Mimi ni mtumishi wa Yesu? Je, ana maana gani hasa? Soma makala za gazeti hili upate ufafanuzi mzuri kuhusu swali hili.
Read MoreKatika toleo hili la Riziki tunajadili kuhusu umisioni wa ndani. Lengo ni kukumbusha juu ya Utume mkuu wa Bwana Yesu wa kwenda kuhubiri habari njema ya toba na ondoleo la dhambi kwa wale ambao hawajafikiwa na injili.
Read MoreGazeti hili maalum kwa watoto na vijana linazungumzia maana ya Amani kwa Wakristo. Amani ni usalama, raha moyoni na raha ya kutenda. Ni toleo la 4 kwa mwaka 2018 na lipo madukani Soma Biblia. Karibu umnunulie mtoto zawadi hii idumuyo na yenye kubeba mafundisho ya Neno la Mungu.
Read MoreKatika toleo hili la RIZIKI tunaangalia sehemu ya tatu ya Imani ya Mitume inayoanza kwa kusema, Namwamini Roho Mtakatifu. Tunaamini yaliyomo katika toleo hili yataimarisha imani yako katika kumwamini Roho Mtakatifu.
Mpendwa msomaji wa Twende, uvumilivu ni tunda la Roho tunayepewa tunapomwamini Yesu. Biblia inatufundisha uvumilivu kupitia watu mbalimbali. Toleo hili limefafanua zaidi maana ya uvumilivu kwetu sisi Wakristo. Jipatie nakala yako kutoka Soma Biblia.
Read MoreToleo hili la RIZIKI tunaangalia sehemu ya pili ya Imani ya Mitume; Namwamini Yesu Kristo. Tunakumbushana kwa kutafakari maana ya maneno haya. Tunapokiri kwamba namwamini yesu, ina maana maisha yetu yamejengeka ndani ya msingi ambao ni Yesu Kristo.
Read MoreJe, nini itatokea kwa imani yetu, ikiwa kila kizazi huibadilisha tu kulingarna na mawazo, mahitaji na mipango yake? Katika RIZIKI toleo la kwanza 2018, tutaangelia zaidi maneno muhimu kuhusu Imani yetu ya Kikristo.
Read MoreMimi na wewe tunaweza kuwa na maswali mengi yanayosumbua imani yetu kututilia wasiwasi mwingi wa kiroho.
Read MoreYesu ni Fidia - kwa tafsiri rahisi neno fidia lina maana ya gharama ambayo inatolewa kwa ajili ya kufanya ukombozi. Yesu amelipa gharama yote kwa ajili yetu wanadamu. Hii ina maana gani hasa kwetu?
Read MoreRIZIKI toleo la 4 linapatikana sasa. Karibu kusoma kuhusu Miujiza katika mpango wa Mungu.
Read MoreMajina ya Mungu yametumika ndani ya Biblia kama mwongozo wa kujifunza tabia ya Mungu. Toleo hili la RIZIKI linaeleza zaidi.
Read MoreMwokozi wa ulimwengu:
Ni mmoja anayeokoa watu kutoka kifo na magonjwa. Ni mmoja anayeweza kufanya amani. Ni mmoja mkubwa na hodari, na mwenye nguvu zaidi ya shujaa!
Read MoreTWENDE Toleo la pili linapatikana.
Read MoreRIZIKI Toleo la pili inapatikana sasa.
Read More